Loading the player...


INFO:
@shafii_brand haya mateso yamenishinda kwa kweli😂😂 Wakati umefika wa kubadilisha mazingira! Mwezi huu, tarehe 30u002F05u002F2025, Cheka Tu inakupeleka Masaki – pale kwenye venue ya kimataifa Warehouse, ndani ya CHEKA TU: BLACK AND WHITE 🖤🤍 EDITION. Yaani kwa kifupi — vichekesho vinaenda kuwa Black and White, na kicheko kinaenda kuwa Black and White! 😄 🎟️ Tiketi: Regular: 25,000u002F= VIP: 50,000u002F= VVIP: 100,000u002F= 📍 Tickets zinapatikana kupitia: Nilipe Application @makjuice_tz – Afrikasana @littlemore_mlimani_city @lampard_electronicss @twentyfour7fitnesstz Powered by @blackandwhitewhiskyafrica & @coy_beef_biltong Tukiwa powered na kinywaji chako pendwa — Black & White Whisky 🥃